Joseph_Lekei о Dfdhth
Mfumo wa Dfdhth unafanya kazi kwa mtindo wa kununua bidhaa ili kupata kamisheni. Tatizo ni kwamba huwezi kutoa kile kinachoonekana kama faida bila kununua kiwango au status mpya. Kwanza wanatoa kiasi kidogo cha pesa ili mtu aamini, lakini unapowekeza kiasi kikubwa wanaanza kuomba malipo makubwa zaid ... читать далее